Penzi la Mrembo Tunda na Whozu "Wapigana Mabusu Hadharani 'Hatuachani Tutaenda Peponi Pamoja | ZamotoHabari.

Penzi la Msanii wa Bongoflava Whozu Na Tunda Cappuccino linazidi kushamiri , Unaambiwa wanaongoza kila kona huku wameshikana mikono kama Julieth na romeo

Baadhi ya watu wamewatabiria penzi lao kutodumu kutokana wote ni mastaaa ila wao Wanasema Hawaachani Na Wataenda Peponi Pamoja , Tazama Video hapa chini wakinyonyana mate live mbele za watu huku wakirekodiwa:

VIDEO:


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini