Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo atakutana na Watendaji wa Kata wa nchi nzima katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Watendaji wa Kata wote wataingia Ikulu kupitia lango la mashariki (baharini) na mkutano utaanza saa 3:30 asubuhi. Taarifa ya Kurugenzi Mawasiliano Ikulu imeeleza hivyo.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA
0 Comments