Dudu baya atangaza tarehe ya kufunga ndoa | ZamotoHabari.

Msanii na mlongwe wa muziki wa Bongo Fleva Godfrey Tumaini alimaarufu Dudubaya amefunguka na KUtaja tarehe anayoitarajia kufunga ndoa ambapo amesema hakuna kitu chochote anachofikiria zaidi ya kufunga ndoa kwasasa.

"Sijawahi kuishi na mwanamke, watoto wangu wote nimewaza nikishi geto la washikaji”


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini