Esma Platnumz "Huyu Mwijaku Alikuwa Anatuongelea Mimi na Diamond Vibaya Sana Hakujua Linamrudia" | ZamotoHabari.

Dada wa Diamond Platnumz Esma Platumz amefunguka sakata la Mwijaku kuhusishwa kusambaza video za utupu za Menina kwa kusema haya

"Huyu mtu wenu alikuwa anatuangalia sana sisi vibaya na pia alikuwa anamuongelea mdogo wangu vibaya sijui malipo ni hapa hapa Dunia ,kama hivi dada ake naye kafanyiwa sijui na kafanyiwa, na yeye nasema kila anapomzungumzia na kumyooshea kidole vidole vingine vinakuonyeeshea wewe na yeye amepata malipo yake, alikuwa anapenda kutuzungumzia sana na hatumjui, Yamemkuta sasa"
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini