Happy Nyerere Day


Leo Oktoba 14, 2019 ni kumbukumbu ya miaka 20 tangu kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere.
 Mwalimu Julius Kambarage #Nyerere alifariki Oktoba 14, 1999 huko London, Uingereza
- Ndiye Rais wa kwanza wa Tanzania na mwasisi wa Itikadi ya ‘Ujamaa na Kujitegemea’

Sponsored by ZAMOTO MEDIA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini