Lemutuz Afunguka "Wanaomuombea Mabaya Rais "CHUMA" Poleni Sana...Wabongo Mchawi Aliyeturoga Lazima Amekufwa" | ZamotoHabari.

Lemutuz Afunguka "Wanaomuombea Mabaya Rais "CHUMA" Poleni Sana...Wabongo Mchawi Aliyeturoga Lazima Amekufwa"
LIVE STRAIGHT TALK:

"The Art Of Majungu Nation wanasema kwanini Serikali haijibu haya mambo ni mazito sana ..hahahaha....a simple common sense ni kwamba Rais "CHUMA" jana ametengua baadhi ya Viongozi na ameteua wapya ni simple response ya IKULU kwamba huko ndani ni Business as usual yaani Serikali ianze kujibu ujinga wa Twitter kila siku itakuwa ni Serikali au Banana Republic? .....Wabongo Mchawi aliyeturoga lazima amekufwa kuna Wananchi wanaofurahia haya majungu? Ina maana wana miss yale Maisha ya zamani ya Uongo uongo? Ya Serikali kwenda kuomba mishahara ya wafanyakazi wake kwa Wahindi? yake mambo ya "UNANIJUA MIMI NI NANI?" hahahahahaha ...guys tulieni tulisema tunataka mabadiliko ndio haya na hakuna aliyesema itakua rahisi ndio maana Nabii Musa alipotumwa na Mungu kuwaokoa wana Israel alikutana na maajabu makubwa sana ya Farao lakini Mabadiliko yalifanyika na in the Process yaliwagharimu sana Wana Israel kwa sababu kama hizi zetu za kulilia kurudi tulikotoka HATUTARUDI NYUMA na hata mbele ya safari hatutakuja kuchagua tena Viongozi magoi goi mwendo ni huu huu wa Mabadiliko mpaka TUELEWANE ...wanaomuombea mabaya Rais "CHUMA" poleni sana na ni vyema sana "TUMEWAJUA" kumbe mlikuwa mnanufaika sana na mambo ya Utawala wa hovyo hovyo sasa mirija imebanwa mnalia lia mpaka kuombea "CHUMA" afe hahahahaha MWAFWAZZZ habari ndio hiyo "CHUMA" kipo na jana kimetengua na kuchagua Viongozi wapya maana yake ni Business as usual kwa wale Majungu lovers wa eti kwanini Serikali haijibu kama kuteua na kutengua sio majibu sahihi ya kuwa "CHUMA" kipo basi subirini upepo wa kisuli suli labda utawasaidia ukweli mnaoutaka ....VIVA MAGUFULI! ....KANYAGA TWENDE TUMECHELEWA SANA ...TUMESHAANZA KUELEWANA ..KANYAGA TWENDE! ..TUMECHELEWA!" @lemutuz_superbrand

Source:Lemutuz Instagram
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini