MJUE DJ Mack Acheche Anayetafsiri Muvi za Kizungu, Kikorea na Kichina / Apiga Pesa Ndefu Kupitia Kazi Hiyo | ZamotoHabari.


Tumekutana na Dj Mack anayejishughulisha na kutafsiri Filamu mbalimbali zilizokatika Lugha za kigeni na kuziweka katika lugha ya kiswahili. Ameweka wazi vitu faida anayopata kupitia kazi hiyo. Pia amesema ameshawahi kuwauzia kazi mastaa mbalimbali Kama vile Barnaba, Rayvanny na wengine wengi.

VIDEO:


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini