Mh. Balozi Mero akiongea mbele ya Watanzania waliojitokeza kuja kumuuga.
Mh. Mero kipata ukodak na viongozi walioteuliwa kujaza nafasi ambazo zilikuwa wazi.
Zawadi kutoka New York Tanzania Community kwa Mh. Balozi. Balozi Mero ulikuwa mtu wawatu na chapa kazi, kwa picha zaidi nenda chini.
Mama Balozi akiwaaga wanacommunity.
Jiunge Grupu la Mishono ya Vitenge VITENGE MISHONO
0 Comments