Rayvanny Amjibu Harmonize...Atupia Picha Akiwa na Mwanamuziki Mr Flavour | ZamotoHabari.

Baada ya Harmonize kupost picha akiwa na Mwanamuziki Wizkid kitu ambacho kinaonesha kuna kazi mpya inakuja ...Rayvanny msanii wa Bongo Fleva kutoka WCB nae ametupia picha akiwa na Mr Flavour nchini Canada....Unaambiwa ni mwendo wa kujibishana tu
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini