VIDEO: Kocha Aussems Alia na Uwanja/ Aaahidi Kubadili Kikosi Mechi ijayo | ZamotoHabari.


Kocha wa kikosi cha Simba SC, Patrick Aussems, amelia kutokana ubovu wa eneo la kuchezea la uwanja wa Sheikh Amri Abeid wa mjini Arusha ambao wamecheza mechi yao ya ligi kuu Jumapili ya leo dhidi ya Singida United na kuibuka na ushindi wa bao 1-0.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI:


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini