Ommy Dimpoz Ashinda TUZO Marekani, Awamwaga Alikiba na Harmonize | ZamotoHabari.



Msanii Ommy Dimpoz amefanikiwa kunyakua tuzo ya msanii bora kiume kutoka Afrika Mashariki, Best Male East Africa kwenye tuzo za Afrimma zilizotolewa Dallas Texas, Marekani usiku wa jana.

Dimpoz amefanikiwa kuwamwaga Alikiba, Nyanshinki, Jux, Harmonize na wengine waliokuwa wanawania kwenye kinyang'anyiro hicho.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini