WhatsApp Yamponza Askari Magereza Apolwa Siraha Kisa Kuchart | ZamotoHabari.

Askari wa Jeshi la Magereza nchini Uganda wanachunguza tukio la Afisa Mwanamke wa Gereza aliyeibiwa silaha ya kivita aina ya AK-47 wakati akiwa katika Gereza la Mpigi.

Afisa aliyeibiwa ametambulika kwa majina ya Hadijah Katono ambaye imeelezwa kuwa wakati akiibiwa silaha hiyo alikuwa akipiga soga katika mtandao wa WhatsApp.

Mashuhuda wameeleza kuwa kijana mmoja aliyekuwa ameshika mkuki alimshambulia afisa huyo kwa kumpiga mara mara kisha akachukua silaha na kutimua mbio.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini