Yanga SC Wachapwa na Waarabu Mbele ya Wasukuma, Simba SC Haooo Wachana Mbuga | ZamotoHabari.


Yanga SC wamepoteza Mchezo wa Shirikisho Afrika wakiwa nyumbani katika Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza kwa kuchapwa goli 2-1 dhidi ya Pyramids FC kutoka nchini Misri.

Magoli ya Pyramids FC yamefungwa na Erick Traory 42', Abdallah Saed 62', huku goli pekee la Yanga SC likifungwa na  Papi Tshishimbi 88'.

Katika hatua nyingine mchezo wa Ligi Kuu Tanzania kati ya Simba SC na Singida United umemalizika kwa Simba SC kushinda 1-0, goli hilo limefungwa na  Miraji Athumani 42'.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini