Mahakama ya Iringa imemuhukumu kifungo cha maisha jela na kuchapwa viboko hamsini asubuhi na jioni Anorld Mlay ( pichani ) kwa kosa la ulawiti, Mlay anasadikiwa kuwalawiti watoto 12 katika kituo chake cha kuchezesha game.
Mlay alikuwa mwalimu ambaye alimaliza chuo kikuu cha Iringa mwaka 2016 na pia alikuwa akimiliki kituo cha kuchezesha game sehemu ambayo pia ndipo alipofanyia uhalifu huo
Kwa habari zaidi za ukweli na uhakika endelea kufuatilia page hii ya habari zote media share zaidi
Ahsante
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA
0 Comments