Maskini..Golkipa Juma Kaseja Alazwa na Kufanyiwa Upasuaji | ZamotoHabari.

Maskini..Golkipa Juma Kaseja Alazwa na Kufanyiwa Upasuaji

Inadaiwa kuwa golikipa wa KMC na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Juma Kaseja amefanyiwa upasuaji wa goti usiku wa jana, baada ya kuwa na jeraha kwa wiki kadhaa.

Kaseja inaelezwa kuwa aliumia wakati alipokuwa katika majukumu ya timu ya taifa ila hakufanyiwa upasuaji mapema kutokana na Dr kuwa alimpangia tarehe maalum kufanya upasuaji huo.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini