TCRA Yazipiga Faini ya Jumla ya TZS 5.9B Kampuni 7 za Simu | ZamotoHabari.


TCRA imezipiga faini ya jumla ya TZS 5.9B kampuni 7 za simu, kwa kushindwa kutekeleza masharti ya leseni na kukidhi viwango vya ubora wa huduma. Kampuni hizo na faini zao (TZS) ni: 

Airtel: 1.6B
TTCL: 1.6B
Halotel: 900M
Zantel: 850M
Tigo: 500M
Vodacom: 450M 

Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini