VIDEO: Daktari, Kamanda wa Polisi wafunguka kuhusu watoto waliofariki kwa kula mihogo yenye sumu | ZamotoHabari.

Daktari bingwa wa magonjwa ya ndani katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Manyara Dr.Yesige Mutajwaa amesema kifo cha watoto hao kimesababiswa na Mihogo iliyokuwa na sumu aina ya Cynide.

Kwa upande wake Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Manyara (SACP) Paul Kasabago amethibitisha kutokea hilo ambapo amewataja watoto waliofariki ni Bashiru Hamady ( 6 ) na Mwanahamis Hamady (4 ).

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.

Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini