VIDEO: Lipumba acharuka kuhusu watu wasiojulikana/ Akumbuka ya Mo Dewji | ZamotoHabari.


Mwenyekiti wa CUF Taifa, Prof. Ibrahim Lipumba, amefunguka kuhusu matukio ya utekaji ambayo yamekuwa yakifanywa na watu wasiojulikana huku akitolea mifano kadhaa akiwemo mfanyabiashara maarufu nchini Mohammed Dewji.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.

Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini