Klabu ya Yanga SC imekamilisha Usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Ivory Coast, Yikpe Gislain Gnamien kwa mkataba wa miaka miwili Kama mchezaji huru.
“Tayari ameshapewa kibali na Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) na yupo kwenye hesabu za kuivaa Simba, Januari 4,2020,” ilieleza taarifa hiyo kutoka ndani.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA
0 Comments