Askari Aliezama Motoni na Matukio ya Hatari “Dar ingekufa, Nimejitoa Kafara, Niliokota Jicho, Ubongo” (+video) | ZamotoHabari.


Tumefanya mahojiano na Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini Tanzania, Wilson Mwageni alieonyesha ushujaa baada ya kufanya kitendo cha kijasiri cha kuingia kwenye eneo la matanki ya mafuta yanayowaka moto na kufanikiwa kufunga velve ya mafuta.

SGT. Mwageni anatuelezea hali ilivyokuwa siku anajitoa mhanga kwenda kuzima kufunga valve lakini pia anatuweka wazi matukio mengine aliyowahi kuyafanya.

Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini