Jeshi la Polisi Mkoani Kagera inamshikilia kijana mmoja jina Alfred Kamugisha ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Kishaanda, Kata Kibale wilayani Kyerwa kwa tuhuma za kumuua kwa kumchoma mkuki Askari wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA) na kufanya vitendo vya ujangili ndani ya hifadhi mpya ya Rumanyika.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA
0 Comments