Bashiru Ally "Wapo Wanaolilia TUME Huru Iwasaidie Kupata Ushindi..Tume Huru Haipigi Kura" | ZamotoHabari.

"Wapo wanaolilia tume huru iwasaidie kupata ushindi, tume huru haipigi kura bali inasimamia uchaguzi, chama kisicho na wapigakura kisitegemee tume iwape ushindi, CCM imetafuta wapigakura kwa kutoa elimu bure, afya, maji na barabara, sasa wao waseme wapiga kura wamewapataje" Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini