Mtangazaji wa Deutsch Welle Mwenye Sauti ya Kipekee LEGEND OUMILKHEIR Amestaafu | ZamotoHabari.


Mtangazaji mahiri mwenye sauti ya kipekee wa Idhaa ya Kiswahili ya Deutsch Welle ya Ujeruman

'The Legend' Oumilkheir Hamidou amestaafu kazi ya utangazaji baada ya kufanya kazi katika Shirika hilo kwa miaka 45..

Pichani kushoto Oumilkheir akiwa na Zuhura Yunus wa BBC Swahili.

Umilkheir Hamidou wa DW ni mama mtu nzima, mama huyu ni raia wa Comoro alianza kutangaza DW mwanzoni mwa miaka ya 70 nafikili ni mwaka 1974.

Hongera sana mama mwenye sauti nzito na ya kipekee.

Msalimie Legend Vicent Makori wa VOA sauti ya America. na Legend mwenzio wa DW Erasto Mbwana mwenye maskani yake pale masaki lakini kwa sasa anaishi Ujerumani baada ya kustafu.

Erasto Mbwana asili yake ni Tanga Tanzania
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini