Chelsea Yaifunga Burnley Vibaya | ZamotoHabari.



Winga wa klabu ya Chelsea Callum Hudson-Odoi akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la tatu dakika ya 49 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Burnley kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London.

Mabao mengine ya Chelsea yamefungwa na Jorginho dakika ya 27 kwa penalti na Tammy Abraham dakika ya 38


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini