Manchester United yaipa kipigo Norwich City | ZamotoHabari.



Washambuliaji Marcus Rashford na Anthony Martial wakipongezana baada ya wote kuifungia  Manchester United katika ushndi wa 4-0 dhid ya Norwich City leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford.

 Rashford ambaye amecheza mechi ya 200 leo Man United amefunga bao la kwanza dakika ya 27 na la pili kwa penalti dakika ya 52 na Martial la tatu dakika ya 54, wakati la nne limefungwa na Mason Greenwoodon dakika ya 76.


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini