Mwanaume BIKIRA Alilia Penzi la Wema Sepetu.."Sijawahi Kuona Mwanamke Mzuri Kama Wema" | ZamotoHabari.

Pichani Musa(20) kijana wa nchini Kenya ameibuka kudai yeye bado ni bikira huku akililia penzi la Wema Sepetu Kwa kuandika barua ndefu ya wazi zaidi ya moja kumfungukia Wema. Anasema Wema ndie mke wa maisha yake na hajawahi kuona mwanamke mzuri zaidi kumpita Wema katika tasnia zote za muziki na filamu. -

Musa ambaye amejitambulisha kuwa ni mwanafunzi wa chuo kikuu huku ada ikimpiga chenga kulipia ana imani pia kuwa Wema anaweza kumsaidia kulipia ada wakiwa Kama mke na mume watarajiwa ambapo ameshafanya maamuzi tayari kuwa yeye na sweetheart watazaa watoto wawili wakishafunga ndoa ikiwa Wema atamkubalia kwani moyo wake haujiwezi kwa sweetheart -

Jamaa huyo amepost barua hizo mbili tofauti katika page verified ya Wema Sepetu Facebook na pia kupost barua hizo katika akaunts zake mbili tofauti Facebook huku akisema hajawahi kumjua mwanamke katika maisha yake kwa maana yeye bado ni bikira wa kiume
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini