TIMU ya Simba Yaufunga Mwaka 2019 Kwa Furaha Kubwa | ZamotoHabari.


Klabu ya Simba imefanikiwa kuufunga mwaka vizuri baada ya kuitandika Ndanda FC bao 2-0 katika dimba la Taila jijini Dar es Salaam.

Magoli ya Simba yaliwekwa nyavuni na Francis Kahata dakika ya 12 na Deo Kanda dakika ya 87.

FT: Simba SC 2-0 Ndanda FC
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini