Watu watatu wamefariki dunia baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria kuteleza na kuharibika vibaya wakati ikitua katika Uwanja wa Ndege wa Sabiha Gokcen
Ndege hiyo kutoka Shirika la Pegasus yenye namba PC2193 ilikuwa na jumla ya abiria 183, iliteleza kwa umbali wa Mita 60 na kuwaka moto. Ndege hiyo iligawanyika katika vipande viwili
Kwa Habari za Uhakika na Haraka pakua APP yetu. ZAMOTOHABARI: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP mpya. Ukitaka kudownload kupitia Playstore tafadhali BOFYA HAPA.
Waziri wa Afya, Fahrettin Koca amesema mbali na vifo hivyo, majeruhi takriban 179 wamepelekwa katika Hospitali tofauti
Ametaja chanzo cha ajali hiyo kuwa ni hali mbaya ya hewa
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA
0 Comments