Dkt. Abbasi Akutana na Kufanya Mzungumzo na Waziri Dkt. Mwakyembe | ZamotoHabari.



Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akimueleza jambo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe, walipokutana leo Jijini Dodoma.


Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akiagana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe, walipokutana leo Jijini Dodoma.PICHA NA IDARA YA HABARI-MAELEZO
OPEN IN BROWSER


APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini