Rapa Lil Wayne Akana Kuwa yeye sio Mmarekani...Adai ana DNA ya Nigeria | ZamotoHabari.

Kwa Habari za Uhakika na Haraka pakua APP yetu. ZAMOTOHABARI: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP mpya. Ukitaka kudownload kupitia Playstore tafadhali BOFYA HAPA.
Rapa Lil Wayne amekonga nyoyo za raia wa Nigeria baada ya kutangaza kuwa baada ya kufanya uchunguzi wa vinasaba (DNA) amegundua rasmi kuwa asilimia 53 ya asili yake ni Nigeria.

APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini