Nancy Pelosi amechana nakala yake ya Hotuba ya Rais Donald Trump baada ya Rais huyo kumaliza kuhutubia
Rais Trump alitoa hotuba kuhusu ‘State of the Union’ Bungeni mbele ya Wabunge walioipigia makofi hotuba hiyo
Kwa Habari za Uhakika na Haraka pakua APP yetu. APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP mpya. Ukitaka kudownload kupitia Playstore tafadhali BOFYA HAPA.Mapema kabla ya Trump kutoa hotuba hiyo, alimpita Spika huyo aliyekuwa akimpa mkono wa salamu na haijawa wazi kama Rais Trump alipuuza au hakuona jaribo la Spika la kutaka kumsalimia
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA
0 Comments