Dr Mwaka Hataki Mchezo Kabisa..Aachia Ushahidi wa PICHA Kwamba Analala Kitanda Kimoja na Wake zake Wawili | ZamotoHabari.


Dr Mwaka Mtabibu wa magonjwa ya Wanawake Tanzania akiwa na wake wake wawili katika kitanda kimoja, Siku si nyingi Dr Mwaka na wakeze hao wawili alikaririwa akisema yeye na wake zake wanalala kitanda kimoja kitu ambacho kilileta ngumzo mitandaoni

Pichani ni Dr Mwaka ameamua kuvujisha picha kumaanisha alichokuwa anakisema kina ukweli




APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini