Mrembo Official Lynn Adaiwa Kudanga Kwa AKILI..Ahamia Nyumba Kodi Milion 3 Kwa Mwezi | ZamotoHabari.

FAHAMU; Msanii wa Bongoflava Officiallyyn kahama nyumba ya mbezi beach aliyokua analipa 1.5m kahamia masaki now analipa 3m kwa mwezi ata Kama kanadanga ila kanadanga kwa akili

Comments za Wadau:
Hiyo sio akili maana kwa kodi ya miez this tuuu anauwezo wa kumiliki nyumba yake bila kudaiwa kod

Sio kwa corona hiii atarudi buguruni kuuza mahindi😆

Ataishi hivyo mpaka lini...asisahau kudanga kuna kikomo fainali uzeeni

Ataishi hivyo mpaka lini...asisahau kudanga kuna kikomo fainali uzeeni

Kanadanga kwa akili nyumba ya kupanga? Angekuwa na akili angedanga na kujenga nyumba yake, maisha ya kudanga yana mwisho wake,mwisho ukifika akishindwa kulipa kodi kwenye hiyo nyumba anatimuliwa

APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini