Mwanamuziki mkongwe Aurlus Mabele afariki kwa Corona | ZamotoHabari.


Mwanamuziki mkongwe wa miondoko ya Soukous Aurlus Mabele amefariki dunia jijini Paris nchini Ufaransa.

Kwa mujibu wa NationBreaking kifo cha Mabele kimetokana na kiharusi na homa ya Covid-19.

Taarifa hiyo imetolewa na msanii mwenzake wa LOKETO Nyboma Mwandido.

APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini