Huyu Hapa Mwanaume Handsome zaidi Duniani...Aliyefukuzwa Nchini Kwake Sababu ya Uhandsome Wake | ZamotoHabari.


Fahamu: Omar Borkan(30) mwanamitindo pia muigizaji wa nchini Iraq ndie anadaiwa kuwa mwanaume handsome zaidi duniani. Aliukwaa umaarufu mwaka 2013 baada ya kuripotiwa kufukuzwa nchini Saudi Arabia kwa kinachoelezwa ni sababu ya jamaa kuwa handsome wa kutupwa

Wewe unamuonaje ni kweli uhendisamu wake umevuka mipaka au?

APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini