RAIS Museven Awashukia Wanafunzi "Hatuja Funga SHULE na Vyuo ili Mkumbatiane Huku Mitaani" | ZamotoHabari.

Kauli ya Rais Museven wa Uganda:

“Kwa wanafunzi narudia hatujafunga shule au vyuo ili mukapuyange huko mitaani, maana nashanga tumefunga ili mtulie nyumbani ila kila siku nawakuta mitaani mnahangaika mara mkumbatiane na kujiachia, kama hamuogopi corona tuwarudishe muendelee na masomo”- RAISI MUSEVENI


APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini