HATUNA HISIA ZA KIMAPENZI, TUNASAIDIANA.. "Binti Kiziwi tangu atoke gerezani hawezi kulala kutokana na aina ya maisha aliyokuwa akiishi huko jela, hadi akae sawa itachukua muda na tangu tumekutana hatuko katika hisia za kimapenzi ila tunasaidiana kimaisha tu" Ameyasema hayo Z ANTO
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa
KUBOFYA HAPA
0 Comments