Taulo Alilotumia Kobe Bryant Katika Mchezo Wake wa Mwisho Lauzwa Kwa Mamilioni | ZamotoHabari.

Taulo alilotumia Kobe Bryant katika mchezo wake wa mwisho kuichezea Los Angeles Lakers limeuzwa kwa Sh 76,367,804 katika mnada likinunuliwa na mmoja ya mashabiki wa timu hiyo.

Kobe Bryant alifunga pointi 60 katika mchezo huo ambao Lakers ilishinda 101-96 dhidi ya Utah Jazz

APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini