Mwanamuziki Drake Aukubali Ukweli Baada ya Kuficha Kwa Muda Mrefu..Amuonesha Mtoto wake | ZamotoHabari.


FAHAMU; Kwa mara ya kwanza Rapa @Drake amem'post' mwanaye wa kiume, Adonis katika mtandao wa Instagram ambaye alizaliwa Oktoba 11, 2019.

Taarifa za msanii huyo kuwa na mtoto zilitolewa na PUSHA T kupitia wimbo wa 'Story of Adidon' baada ya kutoelewana baina yao mwaka 2018.

APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini