Uganda: Waziri wa Zamani Mbaroni Kwa Kutangaza nia ya Kugombea Urais | ZamotoHabari.


Maafisa wa Usalama Kitengo Maalum cha Ujasusi (SFC) wamemkamata aliyekuwa Waziri wa Usalama Nchini humo, Jenerali Henry Tumukunde, wiki moja baada ya kuwasilisha ombi la kuwania Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwakani

Tumukunde aliyewahi kuhudumu kama Mkuu wa Idara ya Ujasusi Nchini humo, amekamatwa akiwa katika Ofisi zake eneo la Kololo Jijini Kampala na anatuhumiwa kujihusisha na uhaini


APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini