Rais Ataka Wanaozurura Wakati wa Corona Kupigwa Risasi | ZamotoHabari.



Rais wa Ufilipino, Rodrigo Duterte amewatahadharisha raia wa nchi hiyo wanaotembea bila sababu maalum mtaani kuwa, wanaweza kupigwa risasi kwakuwa serikali imekataza ili kukabiliana na maambukizi zaidi ya virusi vya Corona.

APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini