Wacha Mama Dongote Amuite Mwanae "Baba yangu" Kwa Maana Walipo Tokea ni Mbalia Sana | ZamotoHabari.


Wacha Mama Dongote amuite mwanae "Baba yangu" kwa maana walipo tokea ni mbalia sana.

Sasa hivi mama Dongote kang'aaa mama ameteradadi, kawa katoto kadogo ka shule ya Msingi..!! kasha zisahau shida.
_
Pesa Sabuni ya Roho haswa ukiwa unayo, Mama hazeeki huyo, Tunazeeka sisi tu..!!

APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini