VIDEO: Mashabiki Yanga Wamchoka Yikpe Gislain Baada ya Kutoka Sare na Azam | ZamotoHabari.


Baadhi ya Mashabiki wa Yanga waliojitokeza kushuhudia mchezo wao dhidi ya Azam Fc wameonyesha kukasirisha na kiwango cha Mshambuliaji wa timu hiyo Yikpe Gislain huku wakitaka aondolewa klabuni hapa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI:


APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini