Alikiba Athibitisha Kumtimua kazi Meneja Wake wa Kike | ZamotoHabari.

Alikiba athibitisha kumtimua kazi meneja wake wa kike Ajulikanae Kama Else, Kiba amedhibitisha hilo kupitia simu aliyopigiwa na Rais wa wambea Tanzania Soudy Brown kupitia Kipindi cha XXL siku ya Jana

Ali Kiba amesema kwa sasa hafanyi kazi na meneja huyo kutoka na kushindwa kuelewani kwenye baadhi ya mambo ya kikazi, na pia ameweka wazi meneja huyo alikuwa na uzoefu mdogo kwenye kazi hiyo , amshauri aendelee kujifunza zaidi



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini