Hushpuppi Afikishwa Marekani, Asomewa Mashtaka ya Utakatishaji Pesa. Atuhumiwa Kutapeli Club Moja ya EPL Bilioni 280 | ZamotoHabari.



Socialite wa mitandaoni kutoka Nigeria, mfanyabishara hewa Hushpuppi aliekamatwa mwezi uliopita mjii Dubai amehamishiwa Marekani na kusomewa mashtaka ya utakatishaji pesa na uhalifu wa kimtandao.

Atuhumiwa kutaka kutapeli club moja ya EPL wamtumie Pound 100M sawa na Dollar 124M au Bilioni 280 za kitanzania.

Yeye na genge lake la utapeli la kimataifa wamehusika katika wizi wa mabilioni ya pesa kwa njia ya mtandao.

APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini