KIWANJA kinauzwa kipo Kerege Mapinga, kiwanja ni kizuri sana kipo kona kinaukubwa wa 30 kwa 20 barabara zake ni kubwa, pia zoezi la upimaji Ardhi linaendelea.. Bei Million 5
Kiwanja hakina mgogoro wowote, kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0714 604 974
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa
KUBOFYA HAPA
0 Comments