"Narudisha shukrani kwa Mungu kwa kuamua niendelee kubaki kwenye ligi kuu ya England tena mwakani.
Asanteni kwa wote mlioiombea kheri villa ili muendelee kuniona tena katika ligi hii pendwa." - Mbwana Samatta @samagoal77
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA
0 Comments