Kimenuka..Lemutuz Amshukia Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar Kisa Kusema Paul Makonda Amelikoroga | ZamotoHabari.


Ameandika lemutuz_superbrand Kupitia Ukurasa wake wa Instagram:

"LIVE STRAIGHT TALK: The Art of Selfishness nimeshitushwa sana na hii Video Clip ya Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar nimejaribu kuisikiliza mara zaidi ya 20 ili kupata uhakika wa FACTS anazozisema Sheikh seriously ameniacha Hewani na Maswali yasiyokuwa na Majibu .....Kwa mfano ni FACT kwamba Sheikh ametuhumiwa na baadhi ya Wapiga kura huko Kigamboni kwamba amehusika kutaka kuwatumia kumsaidia RC wa zamani .....as a matter of FACTS nilitegemea Sheikh Mkuu wa Mkoa kwa sababu anawajibu watu asiowafahamu na ambao wamemtuhumu kwa kutumia Dini hiyo Kumsaidia RC jibu lake lingekuwa kwamba yeye hahusiki na wala hajawahi kuhusika na hizo Kampeni na wala BAKWATA haijahusika kabisa .....kwa mtu yoyote mwenye AKILI KUBWA angeelewa ....lakini kuna maneno makali sana ambayo Sheikh ameyatumia HAYAKUSTAHILI KUTUMIKA ......Sheikh anauliza "kwani Makonda ni nani?" au maneno kama "Makonda kalikoroga mwenyewe" ...haya maneno makali sana yanahusiana vipi na Tuhuma za kumsaidia RC? ......I ustaarabu ni Sheikh anatakiwa kumuomba radhi Makonda kwa kutumia lugha kali ya kumdhalilisha bila ya kosa kwa sababu waliomshambulia Sheikh sio Makonda na Familia yake isipokuwa wananchi tu ambao hata yeye Sheikh hawafahamu ....I mean sisi Tanzania ni Taifa huru na wote tunayo haki ya kutoa maoni yetu bila kuvunja Sheria .....Sheikh Mkuu wa Mkoa ninamfahamu na ninamuheshimu sana ila sikutegemea Kiongozi mkubwa wa Dini kama yeye atajiingiza kwenye mambo ya lugha za mtaani na kudhalilisha utu wa Makonda ambaye amekuwa akifanya naye kazi kwa muda mrefu sana ....zipo lugha nyingi za Kistaarabu Sheikh Mkuu ambazo angezitumia kuwajibu wanaomtuhumu bila ya kudhalilisha Mhusika .. . Sheikh Mkuu wa Mkoa ni ustaarabu tu ukamtafuta Makonda na kumuomba radhi lugha uliyoitumia sio inayotakiwa kutumiwa na Kiongozi Mkubwa wa Status yako ...umesema maneno mengi ambao wala hayahusiani na the Subject wananchi tunawaangalia Viongozi kama wewe kwa ajili ya Maadili na Mwongozo wa Maisha sasa wewe ambaye majuzi tu ulikuwa pete na kidole na RC leo wiki moja tu tayari umeshabadilika hivi? Inatisha sana sasa hii Dunia tukawatafute wapi Malaika wa Mungu? Nilidhani Sheikh Mkuu wa Mkoa ni Malaika pia!" - @lemutuz_superbrand

APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini