Tundu Lissu “napanda ndege ya mwisho ya kunifikisha DSM” | ZamotoHabari.


Mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu yupo njiani kurejea Tanzania baada ya kuwa nje ya nchi kwa takribani miaka mitatu.

Kupitia mtandao wake wa Twitter muda mfupi uliopita, Lissu amesema kuwa anapanda ndege ya kumalizia safari yake kutoka Adis Ababa, Ethiopia mpaka Dar es Salaam, Tanzania.


APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini