Adaiwa Kuua Ndugu Zake Waliomtuhumu Kuiba Kuku na Redio | ZamotoHabari.


UGANDA: Mwanaume (33) anatuhumiwa kumkatakata mjomba wake na kukata koromeo la mke wa mjomba

Amewashutumu kuchafua jina lake kwa kudai amewaibia kuku na redio na kisha kuviuza ili apate pesa ya pombe

APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini